Nembo ya Airbnb.org
Nembo ya Airbnb.org
Nembo ya Airbnb.org

Kuungana pamoja kama jumuiya ya kimataifa

Toa mchango leo ili ufadhili makazi ya muda kwa watu wakati wa shida.

Tusaidie kuwapa watu wengi zaidi makazi

Hatuwezi kujua ni lini mzozo mkubwa unaweza kuzuka au ni wapi maafa ya asili yanaweza kutokea. Hata hivyo, wakati wa shida, Airbnb.org inataka kuwa hapo ili kuwasaidia watu wapate sehemu ya kukaa. Usaidizi wako hutusaidia kutimiza hitaji hili muhimu.
Toa mchango leo

Matokeo yetu mwaka 2022

Mwaka 2022, Wenyeji, wafadhili, washirika na mashirika ya waalikwa ya Airbnb.org yaliungana ili kuwasaidia mamia ya maelfu ya watu waliopoteza makazi yao kutokana na migogoro na maafa ya asili. Huu ni mwaka wetu wenye mafanikio makubwa zaidi kufikia sasa:
140,000 na zaidi

Wageni waliopata makazi mwaka 2022

Wageni hao walijumuisha watu waliokimbia Ukrainia, wakimbizi wa Afghanistani na watu nchini Marekani waliohamishwa na majanga ya asili.
Milioni 1.5

Ukaaji wa usiku bila malipo

Kuanzia mwaka 2012 hadi leo, mipango ya Airbnb.org imewapa jumla ya wageni 250,000 makazi.
112

Mashirika tuliyoshirikiana nayo

Mwaka 2022, mashirika 112, ikiwemo mashirika yasiyotengeneza faida na mashirika ya serikali, yalijihusisha kwenye jumuiya ya Wenyeji ya kimataifa ya Airbnb.org ili kuwasaidia watu wakati wa shida.

Michango yako inatekelezwa

Asilimia 100 ya mchango wako itatumiwa kuwapa wageni wa Airbnb.org makazi ya muda mfupi bila malipo.
Kutoa mchango hufanya kazi vipi?
Sehemu za kukaa hazina malipo kabisa kwa wageni walio kwenye mpango wetu. Airbnb.org kamwe haichukui kiasi chochote cha fedha, kwa hivyo mchango wako wote unawasaidia watu kupata makazi wanapoyahitaji zaidi.

Mtandao wa kimataifa wa usaidizi

Airbnb.org inashirikiana na mashirika yasiyotengeneza faida ambayo huwapa watu makazi ya muda, nyenzo na usaidizi wakati wa shida. Tunashiriki kusudi moja: kuwasaidia wale ambao wanaweza kupuuzwa shida inapotokea.
Toa mchango

Community Sponsorship Hub

Mwaka 2022, Community Sponsorship Hub iliwasaidia watu kuunda "makundi ya wadhamini" ili kuwakaribisha na kuwasaidia wakimbizi wa Afghanistani, ambao wengi wao walikaa na Wenyeji wa Airbnb.org walipowasili nchini Marekani.

"Kwa kutumia masalio ya makazi ya muda ya Airbnb.org, makundi ya wadhamini yanaweza kupata makazi ya awali [kwa wakimbizi] na kujiamini zaidi katika kuwakaribisha wageni wanapoanza kujenga upya maisha yao nchini Marekani."

Sarah Krause, Mkurugenzi Mtendaji, Community Sponsorship Hub

CORE

Wenyeji wa Airbnb.org walikaribisha timu za CORE zilizowasili katika jimbo la Florida ili kutoa msaada baada ya Kimbunga Ian. Baadhi ya sehemu zikawa vituo vya uratibu na bohari za kuweka vifaa pia.

"Maafa yanapotokea, mahitaji yanapaswa kutimizwa haraka, hasa kwa jumuiya zilizotengwa. Malazi kutoka Airbnb.org kwa wahudumu wa mstari wa mbele wa CORE yamekuwa muhimu katika kuzindua usaidizi wa kuokoa maisha."

Laura Cansicio, Makamu wa Rais wa Ushirikiano na Maendeleo

EURORDIS

Tangu uvamizi wa Urusi, EURORDIS imesaidia watu nchini Ukrainia walioathiriwa na ugonjwa nadra kuondoka nchini na kupata huduma maalumu na malazi.

"Ushirikiano na Airbnb.org ni mfano wa mpango wa uitikiaji ambao unazingatia mahitaji tata ya familia zilizo na magonjwa nadra ambayo si mara zote yanaeleweka."

Yann Le Cam, Mkurugenzi Mtendaji wa EURORDIS

Global Empowerment Mission

Mwaka 2022, GEM ilishirikiana na Airbnb.org ili kuwahamisha wanafunzi Waafrika kutoka Ukrainia na kuwapa makazi familia zenye kipato cha chini katika jimbo la Florida, waliohamishwa kutokana na Kimbunga Ian.

“Kupitia mpango wa Airbnb.org, tunaweza kupanua zaidi usaidizi wetu na kuwapa usalama zaidi wale walioathirika.”

Michael Capponi, Mwanzilishi na Rais, Global Empowerment Mission

Nova Ukraine

Mwaka 2022, Nova Ukraine ilishirikiana na Airbnb.org ili kuwasaidia watu waliokimbia Ukrainia kuanza maisha mapya nchini Marekani au Ulaya.

"Niligeukia Nova Ukraine kunisaidia kupata malazi kwa ajili yangu na mtoto wangu mwenye umri wa miaka 4. Nilipokea jibu mara moja. Tulikuwa na nafasi iliyowekwa [iliyolipiwa na] Airbnb.org kwa mwezi mzima!”

Natalia, mgeni wa Airbnb.org

Phineo

Baada ya uvamizi wa Ukrainia, Phineo na United for Ukraine walisaidia akina mama wasio na wenzi, wazee na watu wengine wasiojiweza kupata sehemu za kukaa katika nchi jirani.

"Usaidizi wa kifedha na teknolojia wa Airbnb.org umetuwezesha kushughulikia mgogoro huo mara moja kwa kutumia nyenzo inayolingana, Wenyeji waliothibitishwa na ufikiaji wa nambari ya usaidizi ya saa 24."
Alina Nosenko, Mkuu wa Ushirikiano wa Kimkakati, Phineo

Tunawashukuru washirika wetu na mashirika ya waalikwa

Nova Ukraine

Global Empowerment Mission

Community Sponsorship Hub

EURORDIS

CORE

Phineo

© 2023 Airbnb.org. Haki zote zimehifadhiwa