Kujisikia nyumbani ni msingi wetu

Hakuna kujisikia nyumbani bila uanuwai na ujumuishaji. Kujenga ulimwengu ambako watu wanaweza Kujisikia nyumbani Mahali popote lazima tuchukue hatua halisi za kujenga mahali pa kazi ambapo kila mtu anahisi kukaribishwa na sauti zote zinasikika.

Jinsia ya Kimataifa katika Airbnb

Jinsia ya Kimataifa katika Airbnb

2018

2017


Jinsia ya Marekani katika Airbnb

Jinsia ya Marekani katika Airbnb

2018

2017


Uasili na Ukabila wa Marekani katika Airbnb

Uasili na Ukabila wa Marekani katika Airbnb

Uongozi unafasiliwa kwamba mtu awe katika ngazi ya 11 au zaidi, ana angalau ripoti moja ya moja kwa moja, ambaye si mfanya kazi wa muda, wa mkataba au mafunzo kwa vitendo.**
Ufundi hufasiliwa kuwa ni timu za Uhandisi, Bidhaa, Ubunifu, Sayansi ya Data (Uchanganuzi) na Teknolojia ya Habari. Bila kujumuisha Wasaidizi Watendaji na Waratibu wa Timu.**
Uhandisi unajumuisha kila mtu aliyepo ndani ya shirika letu la Uhandisi. Bila kujumuisha Wasaidizi Watendaji na Waratibu wa Timu.**

Able@

Able@ ni kundi la wafanyakazi wenye (ulemavu) wasio na ulemavu tofauti unaoonekana, usioonekana, na kila kitu ni katikati, pamoja na wandani wetu. Able@ imebuniwa ili kuinua na kuwawezesha wanachama wakati wa kushiriki katika juhudi za utetezi ili kuinua ufahamu na kuboresha makao kwa mahitaji yetu ya kipekee.

AirPride@

AirPride@ hukutana mara kwa mara na lengo la kufanya Airbnb kuwa eneo la kuvutia sana kwa watu wa LGBTQ kufanya kazi. Tunapanga matukio ya kijamii, juhudi za kujitolea za LGBTQ, na kufanya kazi kuelimisha ofisi kubwa kwa njia ya matukio kama Pride na paneli za elimu za ndani.

Asians@

Asians@ ni Vikundi vya pamoja vya Watu na Utamaduni wa Asia na Kisiwa cha Pasifiki (API) vinavyotoa sehemu ya usaidizi na utetezi. Tunajitahidi kuhakikisha wanachama wote wanajisikia nyumbani Airbnb, wote ndani ya kampuni na jumuiya yetu ya kimataifa ya Wenyeji na Wageni.

Black@

Black@ inajitahidi kuhakikisha wanachama wote wanafurahia hisia ya kujisikia nyumbani Airbnb. Tunatoa sehemu salama ya kukutana kwa wafanyikazi na wandani wa Black ili kujadili uanuwai wa ubaguzi wa rangi na ukabila katika usajili, udhibiti na jitihada za jumuiya Airbnb.

Foreignairs@

Foreignairs@ huadhimisha maisha anuwai ya nyuma ya wafanyakazi wa Airbnb. Tunakaribisha wahamiaji na wenyeji katika jumuiya ya wafanyakazi wetu kuungana na kushiriki matukio, rasilimali, na mitazamo halisi ya kujisikia nyumbani ya duniani kote mahali popote.

Juntos@

Juntos podemos! Juntos@ huadhimisha kufanana na uanuwai ambao utamaduni wetu unatoa. Tunajitahidi kuelimisha, kuinua, na kusaidia jamii zetu za Latinx kupitia matukio ya kujitolea, fiesta, mafundisho, na fursa za ufikiaji.

Natives@

Natives@ iliundwa kuwapa sauti imara watu wote wa Asili, Waamerika Asili, wanachama wa Mataifa ya Kwanza, Inuit, na Wazawa katika jumuiya ya Airbnb. Tunaweka tamaduni zetu hai kwa kukuza uelewa na sherehe ya pamoja, kuhamasisha hisia ya kujivunia kwa wote wanaoshiriki utamaduni huu.

Nerdettes@

Nerdettes@ ni ya wanawake katika uhandisi, sayansi ya data na ITX! Tunakaribisha wageni katika mikutano ya kawaida ili kubadilishana matukio yetu na kusaidiana katika kuondoa vikwazo ili kila mtu astawi. Jiunge nasi kwa chakula chetu cha mchana cha kila mwezi na ujitambulishe kwa jumuiya!

Parents@

Parents@ ni kundi la kusaidia wafanyakazi walio na watoto, limejitolea kujenga utamaduni ambao ni wa afya kwa wazazi na familia zao. Tunashiriki rasilimali za huduma kwa watoto, elimu, uzazi, kusafiri na watoto, kurudi kazini baada ya mtoto na zaidi.

Tribe@

Tribe@ ilianza kama kundi kwa mtu yeyote anayetaka maisha ya Kiyahudi na utamaduni Airbnb, na imeongezeka na kuwa mlango wa kutoka kwa wote kushirikiana tamaduni zao za kidini na za kikabila na jumuiya ya wafanyakazi wa Airbnb. Tunakutana kushiriki rasilimali na matukio, na kusherehekea hatua muhimu na mafanikio!

Veterans@

Veterans@ huadhimisha michango na kujitolea kwa huduma ya Majeshi wakongwe. Tunasaidia vitendo vya wakongwe ndani na katika jumuiya ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na usajili wa wakongwe katika Airbnb na usaidizi kwa familia za wanajeshi, wanachama na wakongwe wa hudima ambao ni walemavu/waliojeruhiwa.

Women@

Kundi la Women@ Airfinity ni eneo salama kwa wanawake wote katika Airbnb na wale wanaowasaidia. Tumejitolea kudumisha jumuiya wazi kwa majadiliano kuhusu changamoto zinazokabiliwa na wanawake katika teknolojia, fursa za ushauri na usaidizi wa uongozi katika Airbnb.