Matukio ya Wajibu kwa Jamii

Pata watetezi wapya wa kusudi lako

Changisha fedha na uhamasishaji kwa ajili ya shirika lako lisilo la faida kwa kuandaa shughuli ambazo wageni wako watapenda.

Unganisha wakazi na wasafiri kwenye malengo yako

Kuanzia kushiriki ustadi wako wa ufugaji nyuki hadi kuongoza darasa la mapishi ya kitamaduni, unaweza kutoa tukio la Wajibu kwa Jamii lililokusudiwa kuwaunganisha wageni na malengo yako. Airbnb huondoa ada zake, kwa hivyo asilimia 100 ya mapato yanaenda kwa shirika lako lisilo la faida.

Kuanzia kushiriki ustadi wako wa ufugaji nyuki hadi kuongoza darasa la mapishi ya kitamaduni, unaweza kutoa tukio la Wajibu kwa Jamii lililokusudiwa kuwaunganisha wageni na malengo yako. Airbnb huondoa ada zake, kwa hivyo asilimia 100 ya mapato yanaenda kwa shirika lako lisilo la faida.

Fikia hadhira inayojali

Ongeza ufahamu katika jumuiya ya kimataifa ya wasafiri wanaojali masuala sawa na yako. Huku kukiwa na mamilioni ya wageni kila mwezi, Airbnb inaweza kuongeza kujulikana kwa shirika lako lisilolenga faida.

Hawa ndio aina ya wateja ambao tumekuwa tukitaka kuwafikia, vijana, wenye nguvu, watu wenye ufahamu na shauku... inayofanana na yetu wenyewe. "

Jon, mwenyeji wa "Piga makasia na pengwini" Cape Town, Afrika Kusini

Nenda kwenye tukio
Hawa ndio aina ya wateja ambao tumekuwa tukitaka kuwafikia, vijana, wenye nguvu, watu wenye ufahamu na shauku... inayofanana na yetu wenyewe. "

Jon, mwenyeji wa "Piga makasia na pengwini" Cape Town, Afrika Kusini

Nenda kwenye tukio

Pata mapato endelevu

Airbnb waives our 20% service fee for social impact experiences, so all funds you raise go directly to achieving your mission.

Tumeweza kupata pesa za kutosha kuanza mradi wetu wa uhifadhi na urekebishaji wa vila ya Warumi ya Colonnacce (nyumba ya karne ya pilia KK). "

Gianfranco, mwenyeji wa "Kuwa mwanaakiolojia kwa siku" Roma, Italia

Nenda kwenye tukio
Tumeweza kupata pesa za kutosha kuanza mradi wetu wa uhifadhi na urekebishaji wa vila ya Warumi ya Colonnacce (nyumba ya karne ya pilia KK). "

Gianfranco, mwenyeji wa "Kuwa mwanaakiolojia kwa siku" Roma, Italia

Nenda kwenye tukio

Hamasisha watetezi wapya

Kwa kuwaunganisha watu na malengo kwa namna ya ndani zaidi, unaweza kuunda kupata watu wengi zaidi wa kujitolea, wafadhili, na wanaharakati ambao wataendelea kueneza ujumbe kuhusu dhamira yako.

Kinachotokea hapa ni kitu cha kudumu. Nataka kuhakikisha kuwa sanaa hii haifi kamwe."

Vy, mwenyeji wa “Inuliwa na injili”
 Harlem, New York City

Nenda kwenye tukio
Kinachotokea hapa ni kitu cha kudumu. Nataka kuhakikisha kuwa sanaa hii haifi kamwe."

Vy, mwenyeji wa “Inuliwa na injili”
 Harlem, New York City

Nenda kwenye tukio

Karibisha wageni kwa masharti yako mwenyewe

Weka mara ya kujirudia ambayo ni sawa kwako, chagua bei na idadi ya kikundi inayokufaa (hadi 10), na usimamie maelezo yote mahali ulipo kwa kutumia programu bora ya simu ya mkononi.

Tuna watu waliojitolea kuwa wenyeji kwa mara 3 kwa wiki hivyo kutuwezesha kupatikana. "

Ryan, mwenyeji wa "Kwea Korongo la Runyon pamoja na mbwa wa uokoaji" Los Angeles, Marekani

Nenda kwenye tukio
Tuna watu waliojitolea kuwa wenyeji kwa mara 3 kwa wiki hivyo kutuwezesha kupatikana. "

Ryan, mwenyeji wa "Kwea Korongo la Runyon pamoja na mbwa wa uokoaji" Los Angeles, Marekani

Nenda kwenye tukio

Jinsi ya kuanza

Tafuta mwenyeji

Nani ana mtazamo unailingana na dhamira yako? Zingatia wafanyikazi, wanaojitolea, wanajamii na wanufaika kama vile mwenyeji kwa ajili ya tukio lako, pia unaweza kuajiri mtaalam wa fani unayohusika nayo.

Thibitisha shirika lako lisilolenga faida

Ili ufaidike kutokana na ondoleo la ada, shirikal lako lisilolenga faida litahitaji kusajiliwa na mshirika wetu wa uthibitishaji.

Unda tukio lako

Wajulishe watu mambo unayojali njia ya kipekee, kwa kuwahusisha. Ikiwa tukio lako linatimiza viwango vyetu vya ubora, utaweka tarehe na kuanze kukaribisha wageni!

Pata maelezo ya jinsi inavyofanywa

Pata hamasa kutokana na matukio ya yaliyopo

Angalia yale mamia ya mashirika yasiyolenga faida ulimwenguni kote yanafanya ili kukuza uhamasishaji, kuandaa watetezi wa kudumu, na kuchangisha fedha.

Pata hamasa kutokana na matukio ya yaliyopo

Angalia yale mamia ya mashirika yasiyolenga faida ulimwenguni kote yanafanya ili kukuza uhamasishaji, kuandaa watetezi wa kudumu, na kuchangisha fedha.

Kuhusu Airbnb

Airbnb ni nini?

Airbnb huunganisha watu na maeneo ya kukaa na mambo ya kufanya duniani kote. Jumuiya hii huwezeshwa na wenyeji, ambao huwapa wageni wao fursa ya kipekee ya kusafiri kama mkazi wa eneo.

Tukio la Airbnb ni nini?

Shughuli iliyoundwa na kuongozwa na wakazi wenye motisha. Matukio yanatia ndani mambo mengi zaidi ya ziara za kawaida au madarasa kwa kuwakaribisha wageni ndani ya ulimwengu wako wa kipekee. Mtu yeyote anaweza kushiriki mambo ayapendayo, ustadi au utaalamu bila kuhitaji chumba cha ziada.

Majibu ya maswali

Nani anaweza kuwa Mwenyeji aliye na Wajibu kwa Jamii?

Wenyeji wa wajibu kwa jamii wanaweza kuwa wafanyakazi, wajumbe wa bodi, wakandarasi, wanaojitolea, au wafuasi wa mashirika yasiyo ya serikali au yasiyotafuta faida. Yana utaalamu wa kweli katika kazi za mashirika yasiyolenga faida na idhini ya shirika kuwa mwenyeji.

Ni mashirika ya aina gani yanaruhusiwa kuwa wenyeji wa tukio la Wajibu kwa Jamii?

Shirika lenyewe lazima liwe limesajiliwa kuwa shirika lisilo la serikali/lisilolenga faida kama inavyofafanuliwa na mshirika wetu wa uthibitishaji TechSoup, na ithibitishwe kupitia jukwaa la TechSoup. Nani anaruhusiwa kuwa mwenyeji wa tukio la Wajibu kwa Jamii? • Asasi za kidini au za imani, isipokuwa wakati shughuli zinazodhaminiwa haziegemei upande wowote, kama matukio ya mapishi au malazi, na zinafaa kwa watu wa dini zote. • Mashirika ambayo yanabagua au yana mazoea ya kutenga watu kwa misingi ya dini, jinsia, mwelekeo wa kijinsia, au masuala mengine ya utofauti, hata ikiwa inaweza kuruhusiwa na sheria za eneo husika. • Asasi za siasa au uhamasishaji, udugu/miungano ya wanawake na utetezi fulani na mashirika ya manufaa ya pamoja. Soma zaidi: www.airbnb.com/how-do-i-host-a-social-impact-experience

Je, Airbnb hutoza ada?

Si kwa wenyeji wa matukio ya wajibu kwa jamii. Airbnb huondoa ada yake ya 20% kwa wenyeji waliothibitishwa wa mashirika yasiyolenga faida. Hiyo ina maana kuwa 100% ya mapato yanayotokana na tukio huenda moja kwa moja kwenye akaunti ya benki ya shirika lako.

Je, ninafaa kuwa mwenyeji mara ngapi?

Matukio yanatakiwa kuwa ya mara kwa mara, shughuli zinazoendelea ambazo wenyeji na wasafiri wanaweza kuwekea nafasi. Kwa kuwa utakuwa na uhuru wote na usimamizi wa upatikanaji katika kalenda yako, unaweza kuamua ni mara ngapi ungependa kuwa mwenyeji. Baadhi ya wenyeji walio na wajibu kwa jamii hukaribisha wegeni mara 3 kwa wiki, huku wengine wakikaribisha wageni mara mbili kwa mwezi. Tunapendekeza ukaribishe wageni angalau mara moja kwa wiki ili kukupa fursa zaidi za kuungana na jumuiya ya Airbnb. Kadri ulivyo na tarehe zaidi, ndivyo wageni wengi watakavyokuona wakati wa kutafuta kwenye jukwaa. Kwa kuwa tarehe zaidi zinamaanisha uwezekano zaidi wa kujulikana, hatupendekezi kuwa na tukio la mara moja au tukio la moja kuwa tukio la Wajibu kwa Jamii.

Je, inawezekana kuwa na zaidi ya mwenyeji mmoja kwa tukio langu?

Ndiyo. Ili kustahiki, kila mtu anayekuwa mwenyeji au kusaidia mwenyeji wa tukio ni sharti awe na akaunti ya Airbnb, na lazima atatajwa kwa jina katika sehemu ya "Kuhusu wewe". Ni kinyume cha sera za Airbnb kuwa na wenyeji wengi isipokuwa kwa kufuata masharti yaliyo hapo juu.

Je, ninahitaji kuwa na nyumba katika Airbnb ili kuwa mwenyeji wa tukio?

La, hasha. Matukio ya Airbnb na Nyumba za Airbnb ni mipango tofauti. Wenyeji wa matukio wanaweza wa kushiriki mambo wanayopenda na kuwa mabalozi wa jiji lao bila kukaribisha watu katika nyumba zao. Kwa upande wa wageni wa Matukio, hawatakiwi kukaa katika Nyumba ili kushika nafasi katika Tukio. Wageni wengi wa Matukio huwa wasafiri wanaokaa katika nyumba zilizotangazwa kwenye Airbnb, lakini pia kuna wageni wa ndani kama njia ya kukuza uhusiano katika jamii na kupata mchanagamano na wenyeji.

Je, mashirika yasiyolenga faida hulipwa?

Wenyeji walio na Wajibu kwa Jamii hupokea 100% ya mapato yanayotokana na matukio, wenyeji kama hao hutakiwa kuunganisha akaunti ya benki ya shirika lisilolenga faida moja kwa moja kwenye akaunti ya Airbnb ambayo wanatumia kukaribisha wageni. Hiyo ina maana kuwa utahitaji kufungua akaunti mpya ya Airbnb ukitumia anwani yako ya barua pepe ya shirika lisilolenga faida na kuweka akaunti ya benki ya shirika lisilolenga faida kuwa njia ya kupokea malipo. Saa ishirini na nne baada ya tukio lako kukamilika, utapokea malipo kwa njia unayopendelea.

Je, kwa nini Airbnb ina mpango wa kutekeleza wajibu kwa jamii?

Lengo la Airbnb ni kujenga ulimwengu ambapo mtu yeyote anaweza akawa wa mahali popote. Tunahisi kuwa mojawapo ya njia bora zaidi ya kujua eneo jipya na kuchangamana na ni kwa kuelewa masuala ambayo watu wanayajali. Kufanya kazi na mashirika yasiyo ya serikali/mashirika yasiyolenga faida huturuhusu kuendeleza lengo letu kwa kuongeza matukio kwenye jukwaa letu wakati wa kuunda mipango chanya katika jamii.