MATUKIO YA AIRBNB

Host a Nature & Outdoor experience

Take people out of the city and into the wild with hikes, water and mountain sports.

Tunachohitaji kwa wenyeji

Wataalamu wa kila aina
Wataalamu wa kukwea milima, watembea kwa miguu, watelezaji kwenye mawimbi na wapiga mbizi huwapeleka wapenda asili kwenye vilindi vya bahari na hadi kwenye vilele vya milima.
Ufikiaji wa shughuli na maeneo ya kipekee
Yanafichua maajabu ya asili ambayo yasingeweza kupatikana bila mtaalamu wa eneo.
Uunganisho kati ya wageni
Matembezi yenye kupumzisha na michezo inayoongeza mapigo ya moyo huchochea mazungumzo yanayofanyika nje ya nyumba.

Onyesha unachokijua

Hikes for everyone
Kuanzia matembezi kwenye mandhari zinazovutia hadi milima yenye makorongo, tembelea maeneo ya misitu na ujivunie mandhari ya kwenu.
Matembezi kwenye maji
Go sailing in the sun or kayaking under the stars. Give new friends a fresh take on water sports.
Vilima ambavyo havijagunduliwa
Kwa watu wanaopenda changamoto, fundisha ski za msimu, kukwea milima, na kuendesha baiskeli kwenye ardhi iliyo na mabonde.

Shiriki ulimwengu wako

Go beyond the typical tour and show off your city, craft, cause, or culture by hosting an experience.

Unda shughuli, kwa namna yako

Panua ufundi wako, au uangazie kazi yako ya maisha kwa kuishiriki na wakazi na wasafiri.

Unda shughuli, kwa namna yako

Panua ufundi wako, au uangazie kazi yako ya maisha kwa kuishiriki na wakazi na wasafiri.

Njia yenye maana ya kupata riziki

Badilisha vitu uvipendavyo viwe faida kwa kuunda shughuli za kipekee na za kuhamasisha zinazovutia kila mtu.

Njia yenye maana ya kupata riziki

Badilisha vitu uvipendavyo viwe faida kwa kuunda shughuli za kipekee na za kuhamasisha zinazovutia kila mtu.

Hamasisha watetezi wapya

Zamisha watu kwenye malengo yako kwa kuwaonyesha kwa nini ni muhimu kwako.

Hamasisha watetezi wapya

Zamisha watu kwenye malengo yako kwa kuwaonyesha kwa nini ni muhimu kwako.

Tunakuunga mkono

Nyenzo kama makala na maarifa yaliyotengewa mahitaji yako ya uwekaji nafasi, usaidizi wa wateja wa saa 24 kwa ajili yako na wateja wako, kuangazia tukio lako, na mengine mengi.

Vifaa vilivyoundwa kwa ajili yako
Dashibodi kukupa ufahamu, kujulikana kwa wageni kutoka ulimwenguni kote, malipo bila kukatizwa, na mengi zaidi.
Have peace of mind
Kwa matukio mengi, utawekewa bima ya hadi Dola milioni 1. Kuongezea usaidizi kwa wateja wa saa 24 ili uweze kuzingatia vitu uvipendavyo.
Mwongozo wa kukufanya ukue
Weekly newsletters, articles, community events and resources are dedicated to help you succeed on every step of your hosting journey.

Give locals and travelers a way to disconnect from the digital and reconnect with themselves through a one-of-a-kind activity, designed by you.

Give locals and travelers a way to disconnect from the digital and reconnect with themselves through a one-of-a-kind activity, designed by you.