Sehemu za kukaa kwa wahudumu wanaopambana na COVID-19

Wenyeji wanatoa maeneo yao kwa ajili ya madaktari, wauguzi na wahudumu wengine wa mstari wa mbele, ili waweze kukaa karibu na kazi zao au kutengwa salama na familia zao wenyewe.

Jinsi wenyeji wanavyoweza kusaidia

Ikiwa una nyumba nzima, unaweza kujiandikisha kuwakaribisha wafanyakazi wa huduma ya afya na wahudumu walio mstari wa mbele katika eneo lako. Tutatoa orodha kaguzi muhimu ya usafishaji ili sehemu yako iwe tayari kwa ajili ya wahudumu wa dharura. Wahudumu wa dharura pia watatathminiwa ili kuhakikisha wanastahiki kabla ya kila ukaaji.

Je, wewe ni mhudumu anayepambana na COVID-19?

Wenyeji wanatoa sehemu za kukaa za bila malipo na zenye punguzo kwa watu wanaofanya kazi kwenye mstari wa mbele. Pia tunasamehe ada za huduma kwenye sehemu zote za kukaa za msitari wa mbele.

Ili kufikia sehemu ya kukaa, utahitaji kujibu maswali kadhaa ili kuhakikisha kuwa unastahiki. Mara baada ya kumaliza hiyo, utaweza kuona sehemu za kukaa zinazopatikana katika eneo lako.

Kuipa afya yako nafasi ya kwanza

Tunataka watu wajisikie huru kukaribisha wageni na kuweka nafasi za kukaa hivi sasa. Ndiyo sababu tulishirikiana na wataalamu wa huduma ya afya kuunda orodha kaguzi ya kina ya usafishaji ambayo itawasaidia wenyeji kujitayarisha kabla ya kila ukaaji.

Majibu kwa maswali yako

Pata taarifa zaidi kuhusu mpango huu au kuhusu jinsi ya kuwakaribisha wahudumu wanaopambana na COVID-19.

Toa mchango ili kufadhili sehemu za kukaa

Mchango wako unaenda kwa mashirika yasiyotengeneza faida ambayo huwasaidia wahudumu wanaopambana na COVID-19 kupata mahali pa kukaa.